Isaiah 22:12-13


12 aBwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote,
aliwaita siku ile
ili kulia na kuomboleza,
kung’oa nywele zenu na kuvaa nguo ya gunia.

13 bLakini tazama, kuna furaha na sherehe,
kuchinja ng’ombe na kuchinja kondoo,
kula nyama na kunywa mvinyo!
Mnasema, “Tuleni na kunywa,
kwa kuwa kesho tutakufa!”

Copyright information for SwhKC